Katika hospitali kuu ya rufaa hapa Pwani ya Coast general, shughuli za matiibabu zimekwamba huku baadhi ya familia za wagonjwa tuliozungumza nao wakianza mikakati ya kuwapeleka wagonjwa wao katika ...
Faisal alianza safari hii kutoka Nairobi, akapitia mikoa ya Somalia ya Kenya Kaskazini Mashariki, Mombasa, kisha Tanzania, ambako alienda hadi Malawi alipo sasa. "Ninajaribu kukumbuka safari yangu ...